Uvira: Mjadala kuhusu kuwekwa kwa vituo vya mafuta(stations-services)

1 / 104

Ruhsa ya kuweka vituo vya uuzaji wa mafuta katika mji wa Uvira, imekuwa kwenye mjadala katika kipindi Barza du Peuple cha hii siku ya Mungu February 9 2020. Kipindi hicho ni cha Radio le Messager du Peuple kinacho ongozwa na mtangazaji wa habari wa Radio hio, SOUMIALOT BAHATI MATENGA (Père des enfants)

Ufafanuzi mwingi kuhusu swala hilo, umepanwa na waalikwa kwenye kipindi chenyewe BARZA DU PEUPLE Siku hii, katika kipindi hicho, wameshiriki :

  • Euphrem BALAGIZI mkuu wa idara ya hydrocarbures
  • Maitre Guillaume FADHILI GEZIBWA Mratibu kitaifa wa Shirika la Rahiya la Wazalendo,
  • Japonais MAHUNO  kiongozi wa wauzisha mafuta(Essence, Mazout),
  • SHUKURU SHEMITALO Léon kama Mchambuzi wa siku,
  • Soulialot BAHATI MATENGA, mtangazaji wa kipindi.

 Tujulishe kuwa,  Kipindi hicho, ambacho ni cha mjadala, kinacho gubikwa na mada tofauti kila siku ya Mungu kuanziya saa kumi na mbili unusu (18h30) hadi saa moja unusu (19h30), ni kipindi cha Radio le Messager du peuple inayo patikana mjini Uvira.

FWATENI HAPA KIPINDI

Pascal BAHUNDE

Related Posts

One comment on “Uvira: Mjadala kuhusu kuwekwa kwa vituo vya mafuta(stations-services)
  1. Hi there! Someone in my Myspace group shared this website with us so I came to take a look. I’m definitely loving the information. I’m bookmarking and will be tweeting this to my followers! Fantastic blog and excellent style and design.

Laisser un commentaire

Votre adresse de messagerie ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *